Chadema wataka mikutano ya hadhara 2023

Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA John Mnyika amesema chama hicho kitashiriki uchaguzi mkuu wa 2025 iwapo serikali itaridhia masharti yao ikiwemo kuwaruhusu kufanya Mikutano ya hadhara katika mwaka 2023

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS