Benjamin Netanyahu kuapishwa leo Benjamin Netanyahu ataapishwa leo kama Waziri Mkuu wa Israel kwa mara ya sita na kufanya kiongozi huyo kuweka rekodi ya kiongozi aliyerejea madarakani mara nyingi nchini humo Read more about Benjamin Netanyahu kuapishwa leo