Rwanda yaitupa shutuma DRC.

Rwanda imeishutumu serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa "kuyatengeneza" mauaji ambayo wachunguzi wa Umoja wa Mataifa walisema yalifanywa na waasi wa M23 na kusababisha vifo vya raia 131.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS