Kamati ya CCM Tanga yakataa ripoti ya mradi

Kamati ya siasa ya chama cha mapinduzi CCM Mkoa wa Tanga ikiongozwa na Mwenyekiti wake Rajabu Abdurahman imekataa taarifa ya mganga mkuu wa wilaya ya Pangani Maulid Majala kuhusiana na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Zahanati ya Ushongo pamoja na nyumba ya Muuguzi katika kata ya Mwera 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS