Ujenzi bwawa la Julius Nyerere wafikia 78.68%

Waziri wa Nishati January Makamba

Waziri wa Nishati January Makamba, amesema kuwa hadi mwezi Novemba 2022, ujenzi wa mradi wa bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere (JNHPP) umefikia asilimia 78.68, na  mradi huo una hatua kubwa mbili ambazo zina hadhi ya kushuhudiwa na kusheherekewa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS