Akamatwa na viroba 45 vya mifuko ya plastiki
Mtu mmoja ajulikanaye kwa jina la Jovitus Kazimoto (46) ambaye ni mfanyabishara anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa kukutwa na shehena ya mifuko ya plastiki viroba 45 inayosadikiwa kuingizwa nchini toka nchi jirani kwa kupitia njia za maficho