Mgogoro kanisa la EAGT Mwanza Kusini wamalizika

Serikali imemaliza mgogoro wa kanisa la EAGT jimbo la Mwanza Kusini uliozuka hivi karibuni na kusababisha mchungaji wa kanisa hilo kubadilisha jina la kanisa na kuliita  AGGCI huku waumini wakishindwa kufanya ibada kanisani hapo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS