Abiria wahofia kuzidishiwa nauli kwa Magufuli

Kituo cha mabasi cha Magufuli Dar es Salaam

Abiria wanaosafiri kwenda mikoa mbalimbali kupitia kituo cha mabasi cha Magufuli Dar es Salaam, wameitaka serikali kupitia LATRA kuongeza kasi ya utoaji elimu kwa abiria juu ya ukataji tiketi mtandao kwa kuwa baadhi ya mabasi hayakatishi tiketi hizo na kuongeza nauli kwa abiria.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS