Shule zaaswa kuhusu wizi wa mitihani
Katibu tawala msaidizi sekta ya uchumi na uzalishaji mkoani Mwanza Emily Kasagala amezitaka shule mbalimbali zikiwemo za dini kujiepusha na wizi wa mitihani ambao umekithiri kwa baadhi ya shule nchini na kuziasa kufundisha wa weledi ikiwemo na kuzingatia maadili mema