Kajala amvaa Babalevo kuhusu kuachana na Harmonize Picha ya Kajala na Harmonize, kulia ni Baba levo Staa wa filamu Bongo Kajala amemjia juu msanii Baba Levo baada ya kuandika ujumbe uliomlenga kuhusu kuvunjika kwa penzi lake na msanii Harmonize. Read more about Kajala amvaa Babalevo kuhusu kuachana na Harmonize