Dk.Samia asamehe wafungwa 1631 huku 101 wakiachiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Jumla ya wafungwa 101 nchini wameachiwa huru Jana Desemba 10, 2022, kufuatia msamaha uliotolewa na Rais Dkt.Samia ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 61 ya Uhuru. Read more about Dk.Samia asamehe wafungwa 1631 huku 101 wakiachiwa