Majahazi yenye shehena za mafuta ya kula yakamatwa
Jeshi la Polisi Kikosi cha Wanamaji Dar es Salaam, wamekamata majahazi matatu yakiwa yamebeba shehena ya mafuta ya kupikia yakiwa kwenye madumu ya lita 20 yapatayo 1231, yakitokea Zanzibar kuelekea Bandari bubu Kunduchi.