Rais Samia apata kura moja ya hapana uchaguzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dkt Samia Suluhu Hassan amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM kwa kachaguliwa kwa kura za ndio 1914 kati ya kura 1915 na kura 1 imesema hapana. Read more about Rais Samia apata kura moja ya hapana uchaguzi CCM