Madereva Lindi watakiwa kuwa makini barabarani Jeshi la Polisi Lindi limewataka madereva kuwa makini barabarani ili kujiepusha na ajali hasa katika kipindi hiki cha kuelekea sikukuu za krismasi na mwaka mpya Read more about Madereva Lindi watakiwa kuwa makini barabarani