Walioteka wanawake Burkina Faso wasakwe

Umoja wa Mataifa, Marekani na Ufaransa zimetoa wito wa kuachiliwa bila masharti kwa wanawake kadhaa waliotekwa nyara katika jimbo la kaskazini mwa Burkina Faso la Soum kati ya Januari 12 na 13 mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS