Bella aikabidhi 'Nashindwa' EATV
Mwanamuziki nyota wa muziki wa dansi nchini kutoka bendi maarufu ya malaika Band, Christian Bella leo hii ametoa zawadi kwa mashabiki wake kwa kutambulisha kichupa chake kipya hapa EATV alichokibatiza jina 'Nashindwa'.