Hassan Kessy wa Simba adaiwa kutoroka kambini Uongozi wa Klabu ya Simba umemtaka mchezaji wa Klabu hiyo kutoa maelezo kwa njia ya maandishi kutokana na kosa la kuondoka kambini bila ruhusa. Read more about Hassan Kessy wa Simba adaiwa kutoroka kambini