Canavaro-Hali ya hewa haichangii kushindwa kucheza Nahodha wa Klabu ya Yanga, Nadir Haroub Canavaro amesema, hali ya hewa haiwezi kuchangia timu kufanya vibaya katika michuano mbalimbali ya ndani au nje ya nchi. Read more about Canavaro-Hali ya hewa haichangii kushindwa kucheza