JUKATA yaishukia serikali kuhusu Kura ya Maoni Jukwaa la katiba nchini (JUKATA) limeitaka serikali iache mara moja kuiyumbisha tume ya uchaguzi NEC kwa kuilazimisha iendeshe kura ya maoni tarehe 30 Aprili 2015. Read more about JUKATA yaishukia serikali kuhusu Kura ya Maoni