Bunge lapitisha muswada wa sheria kudhibiti UKIMWI

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limepitisha kwa kauli moja muswada wa sheria ya kudhibiti UKIMWI wa mwaka 2014, ili kuiongezea makali na nguvu sheria iliyoundwa mwaka 2001 ambayo ilipitishwa kama suala la dharura.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS