Bilioni 70 kuukarabati uwanja wa Ndege wa KIA
SERIKALI ya Tanzania imesaini mkataba wa ukarabati wa Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa (KIA) wa majengo na uwanja huo na kampuni ya ujenzi ya kimataifa ya Uholanzi iliyoshinda tenda ya kufanya kazi hiyo ndani ya miezi 23.