Watanzania watakiwa kudumisha amani

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Mecky Sadick.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Mecky Sadick, amewataka watanzania kuacha mambo yanayoweza kuchochea machafuko na uvunjifu wa amani kwani waathirika wakubwa wa machafuko hayo ni watoto na vijana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS