Mashabiki watakiwa kutowapa lawama magoli kipa Viongozi wa Vilabu na mashabiki nchini wametakiwa kuachana na tabia za kutoa lawama kwa magoli kipa wanaofungwa magoli mbalimbali ikiwemo kuhama goli na hatimaye kuweza kufungwa. Read more about Mashabiki watakiwa kutowapa lawama magoli kipa