Viongozi Yanga watakiwa kuangalia yaliyo mbele Baada ya Simba Sc na bao 1-0 dhidi ya Yanga Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, mashabiki wa Yanga wamewataka viongozi kukaa na kujadili mechi zinazofuata ili kuendelea kufanya vizuri. Read more about Viongozi Yanga watakiwa kuangalia yaliyo mbele