Watanzania watakiwa kuwasaidia watu wenye Ulemavu.

Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Dr. Regnaldi Mengi.

Askofu wa kanisa katoliki jimbo kuu la Moshi Mhashamu Issack Amani amewataka Watanzania waliozaliwa wakiwa na viungo timilifu kuwahurumia na kuwasaidia watu wenye ulemavu kwa hali na mali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS