Serikali kulipa wakulima, NFRA machi 30

Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda

Serikali ya Tanzania imesema itajitahidi kuhakikisha inalipa deni lote la mahindi yaliyonunuliwa kutoka kwa wakulima na Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ifikapo Machi 30, mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS