Sekta binafsi zatakiwa kuwekeza Nishati Mbadala Kamishna Msaidizi wa Nishati Mbadala kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Leonard Ishengoma. Serikali imeitaka sekta binafsi nchini kuwekeza katika Nishati mbadala ili kuisaidia serikali kufikia malengo ya kuwalete wananchi maendeleo. Read more about Sekta binafsi zatakiwa kuwekeza Nishati Mbadala