Pah One warejea nchini na 'Kizubaneta'
Kundi la muziki la Pah One, ambalo limeweza kupotea katika gemu ya muziki kwa muda mrefu sasa, limesema kuwa ukimya wao ulitokana na shughuli zao za muziki ambazo zilikua zinaendelea huko Congo, Ivory Coast na Afrika Kusini.