Elon Musk awaonya wazazi kuhusu Netflix Kama wewe ni mfuasi wa Bilionea Elon Musk kwenye mtandao wake wa kijamii X (zamani ukijulikana kama Twitter), basi huwezi kuwa umepitwa na kampeni yake inayotikisa dunia: #CancelNetflix. Read more about Elon Musk awaonya wazazi kuhusu Netflix