Instagram hawasikilizi mazungumzo yako

Baada ya tetesi kusambaa kwamba Instagram hupeleleza mazungumzo ya watumiaji wake ili kuwaletea matangazo yanayohusiana na kile wanachoongea, CEO wa Instagram, Adam Mosseri, ameibuka na kukanusha vikali madai hayo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS