Tunajipanga kuratibu mikutano ya kisiasa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, George Simbachawene amesema serikali imejipanga vilivyo kuratibu shughuli mbalimbali za kisiasa nchini ikiwa ni pamoja na kusimamia mikutano ya vyama vya siasa ambayo imeruhusiwa hivi karibun

