Utapiamlo bado ni tishio Tanzania
Takribani watoto milioni tatu ambao ni sawa na asilimia arobaini na mbili ya watoto wote walio na umri chini ya miaka mitano nchini Tanzania, wamedumaa na hawatakuwa na akili ya kutosha inayohitajika katika shughuli za uzalishaji.