Paka wa ajabu aibuka Geita, amng'ang'ania mtoto
Joyce Japhet (5) mtoto mkazi wa kitongoji cha Kilimahewa kata ya Lulembela, wilayani Mbogwe mkoani Geita amenusurika kufa baada ya kushambuliwa na Paka ambae alimng'ata na kumng'ang'ania usoni mpaka alipokatwa shingo ndipo akamuachia

