Mao Santiago kuibuka kutoka 'mafichoni'
Rapa mkali kabisa wa muziki wa Dansi Nchini, Mao Santiago baada ya ukimya wa muda mrefu sasa, eNewz imeweza kukutana na kuzungumza naye ambapo ameanika mipango yake ya kurejea na kazi mbili kwa mpigo mwishoni mwa mwezi huu.