Watuhumiwa kesi fedha za NMB wana kesi ya kujibu
Kesi ya Wizi wa milioni 150 uliofanyika Ubungo katika makutano ya barabara za Mandela na Morogoro mwaka 2006 imetajwa tena jana katika Mahakama Kuu ya kanda ya Dar es Salaam ambapo watuhumiwa 14 wa kesi hiyo wamepatikana na mashataka ya kujibu.