Mbunge wa Jimbo la Nzega mkoani Tabora nchini Tanzania Dkt. Khamis Kigwangala.
Mbunge wa Jimbo la Nzega mkoani Tabora nchini Tanzania Dkt. Khamis Kigwangala,jana ametangaza rasmi kuwa atawania nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu ujao kupitia chama chake cha CCM.