Tanzania ina tishio la magonjwa yasiyoambukiza Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu Dkt Florence Turuka. Serikali ya Tanzania imeonya juu ya kuwepo kwa ongezeko kubwa la magonjwa yasiyoambukiza yanayotokana na kula vyakula vyenye mafuta mengi na hivyo kumsababishia mlaji kupata magonjwa hayo. Read more about Tanzania ina tishio la magonjwa yasiyoambukiza