170 wahukumiwa kwa makosa ya madawa ya kulevya
Jeshi la Polisi Nchini Kupitia Kitengo cha kuzuia na kupambana na madawa ya kulevya (Anti Drug Unit), limesema kuwa jumla ya watuhumiwa 377 walitiwa hatiani kwa makosa ya kujihusisha na madawa ya kulevya na watu 170 walifungwa vifungo mbalimbali kwa makosa hayo.
