Tembo wavamia makazi ya watu na kuua, Longido Wakazi wa Longido wakigawana nyama ya Tembo kwa ajili ya kitoweo Kundi la Tembo limevamia makazi ya wananchi wa kata ya Tingatinga wilayani Longido mkoani Arusha na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kujeruhiwa. Read more about Tembo wavamia makazi ya watu na kuua, Longido