Bunge kuendelea kujadili bajeti ofisi ya Pinda
Majadiliano ya hotuba ya Makadirio ya bajeti ya ofisi ya waziri mkuu yanaendelea tena leo mjini Dodoma ambapo hakuta kuwa na kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda kama ilivyo desturi.