TUCTA yalia na hali mbaya ya wafanyakazi Katibu mkuu wa TUCTA, Nicholas Mgaya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini Tanzania TUCTA, limesema hali ya wafanyakazi nchini ni mbaya kwani wengi wao wanaishi maisha ya huzuni na kusononeka. Read more about TUCTA yalia na hali mbaya ya wafanyakazi