CIARA AJIANDAA KUWA MAMA

Ciara

Miongoni mwa mastaa walioonesha kushughulikia zaidi shughuli hii ya Baby Shower ni pamoja na LaLa Vasquez, rafiki wa Ciara Kim Kardashian na Mama yake Kim, Kriss Jenner.

Ciara na mchumba wake Future wanategemea mtoto wao wa kwanza hivi karibuni na kufuatia msisimko huu, Ciara ameonekana mara kwa mara akinunua nguo za watoto na katika sherehe hii alionekana kupendeza kwani alitupia vazi aina ya Derra na kumfanya apendeze sana kimama mama zaidi.
.....................................

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS