IVAN AJARIBU 'KUMPOTEZEA' ZARI

Zari "Boss Lady" Akiwa na Farouk

Kufuatia mahusiano mapya ya kimapenzi ya Boss Lady mwanadada Zarina Hassan Aka Zari kutoka Uganda na Farouk Sempala, mumewe sasa anajaribu kupoteza suala hilo kwa kutupia katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii picha ya Gari lake jipya Aina ya Benz

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS