"Usiende Mbali" stori ya ukweli

M-Rap, rapa mwenye umri mdogo ameweka wazi kuwa, ngoma yake mpya, Usiende Mbali ambayo ndani yake amemshirikisha Jux, ni stori ya kweli kabisa inayomhusu mrembo aliyekuwa anadate naye katika kipindi cha
cha nyuma kabla ya kuachana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS