Kubaff ataka mamlaka itoe haki

Rapa Abbas Kubaff, kutoka nchini Kenya ameibuka na malalamiko makubwa dhidi ya mamlaka ya hakimiliki ya kazi za muziki nchini humo, Music Copyright Society of Kenya, ambapo ameitaka mamlaka hii kufanya kazi kwa uwazi na haki zaidi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS