Netanyahu apania kuiongoza tena Israel
Waisraeli wameanza kupiga kura leo kwa mara ya tano katika kipindi cha chini ya miaka minne, huku waziri mkuu wa zamani Benjamin Netanyahu akipania kurejea madarakani pamoja na washirika wa vyama vya mrengo wa kulia.