Wanawake Tanzania wawazidi wanaume

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, leo Oktoba 31, 2022, ametangaza matokeo ya awali ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika usiku wa kuamkia Agosti 23, ambapo takwimu zimeonesha wanawake ni wengi zaidi kuliko wanaume.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS