Vijana Tanga wasisitizwa kuchukua mikopo
Halmashauri ya jiji la Tanga imewataka vijana kutumia fursa ya mikopo iliyopo ili waweze kujikwamua kiuchumi ili kujiepusha na vikundi vya kihalifu kama kile cha watoto wa ibilisi ambavyo vimekuwa vikiibia watu na kuwajeruhi maeneo mbalimbali ya jiji.