Rais Samia atoa maagizo kwa TAKUKURU na ZAECA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameziagiza taasisi za TAKUKURU NA ZAECA kuhakikisha wanaendelea na uchunguzi wa miradi yote iliyobainika kuwa na dosari wakati wa ukaguzi wa Mwenge, ili wahusika wachukuliwe hatua za kisheria.