Waamuzi ligi kuu kupigwa msasa Okt.16
Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi nchini, Nassoro Hamduni amesema kamati yake inaridhishwa na mwenendo wa Waamuzi kwenye michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2022-23 licha ya uwepo wa changamoto chache kwa baadhi ya Waamuzi kwenye Ligi hiyo.